Mwanzo 39:1 BHN

1 Basi, Yosefu alipochukuliwa mpaka Misri, Mmisri mmoja aitwaye Potifa ambaye alikuwa ofisa wa Farao na mkuu wa kikosi chake cha ulinzi, akamnunua kutoka kwa Waishmaeli waliomleta Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:1 katika mazingira