Mwanzo 39:14 BHN

14 akawaita watumishi wa nyumbani mwake na kuwaambia, “Tazameni! Huyu Mwebrania tuliyeletewa anatuaibisha. Alikuja kwangu akitaka kunishika kwa nguvu, lakini nikapiga kelele.

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:14 katika mazingira