Mwanzo 39:21 BHN

21 Lakini hata humo gerezani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu akimfadhili hata kumfanya apendeke mbele ya mkuu wa gereza.

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:21 katika mazingira