Mwanzo 39:4 BHN

4 Basi, Yosefu akapendeka sana mbele ya Potifa, hata akawa ndiye mtumishi wake binafsi; alimfanya msimamizi wa nyumba yake na mwangalizi wa mali yake yote.

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:4 katika mazingira