Mwanzo 4:1 BHN

1 Adamu akalala na Hawa mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Hawa akasema, “Nimepata mtoto wa kiume kwa msaada wa Mwenyezi-Mungu!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:1 katika mazingira