Mwanzo 4:25 BHN

25 Adamu akalala tena na Hawa mkewe, naye akazaa mtoto wa kiume, akamwita Sethi akisema, “Mungu amenijalia mtoto mahali pa Abeli aliyeuawa na Kaini.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:25 katika mazingira