4 naye Abeli akamtolea Mungu sadaka ya wazawa wa kwanza wa kondoo wake na nyama nono. Mwenyezi-Mungu akapendezwa na Abeli na tambiko yake,
Kusoma sura kamili Mwanzo 4
Mtazamo Mwanzo 4:4 katika mazingira