Mwanzo 4:9 BHN

9 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:9 katika mazingira