Mwanzo 40:13 BHN

13 Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani na kukurudisha tena katika cheo chako. Utaweza tena kumpa Farao kikombe mkononi kama ulivyokuwa unafanya hapo awali.

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:13 katika mazingira