Mwanzo 40:5 BHN

5 Basi, usiku mmoja, yule mtunza vinywaji mkuu na yule mwoka mikate mkuu wa mfalme wa Misri, waliota ndoto humo gerezani, kila mmoja na ndoto yake tofauti.

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:5 katika mazingira