Mwanzo 40:7 BHN

7 Basi, Yosefu akawauliza maofisa hao wa Farao waliokuwa kifungoni pamoja naye nyumbani mwa bwana wake, “Mbona leo mna nyuso za huzuni?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:7 katika mazingira