Mwanzo 41:25 BHN

25 Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto zako zote mbili tafsiri yake ni moja. Mungu amekufunulia mambo atakayofanya hivi karibuni.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:25 katika mazingira