Mwanzo 41:27 BHN

27 Wale ng'ombe saba waliokonda sana, ambao waliwafuata wale wanono, na yale masuke matupu saba, yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani, maana yake ni miaka saba ya njaa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:27 katika mazingira