30 Lakini baadaye itafuata miaka saba ya njaa, hata hiyo shibe isahaulike kabisa. Njaa hiyo itaiangamiza nchi hii.
Kusoma sura kamili Mwanzo 41
Mtazamo Mwanzo 41:30 katika mazingira