Mwanzo 41:40 BHN

40 Wewe ndiwe utakayeisimamia nchi yangu, na watu wangu wote watakuwa chini ya amri yako. Mimi tu ndiye mkuu kuliko wewe kwa kuwa nakalia kiti cha kifalme.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:40 katika mazingira