Mwanzo 43:33 BHN

33 Ndugu zake Yosefu waliketi mbele yake kulingana na umri wao, kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho, wakawa wanaangaliana kwa mshangao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 43

Mtazamo Mwanzo 43:33 katika mazingira