Mwanzo 43:9 BHN

9 Mimi mwenyewe nitakuwa mdhamini wake. Wewe utanidai mimi. Nisipomrudisha ukamwona kwa macho yako mwenyewe, lawama na iwe juu yangu milele.

Kusoma sura kamili Mwanzo 43

Mtazamo Mwanzo 43:9 katika mazingira