Mwanzo 44:10 BHN

10 Huyo msimamizi akasema, “Sawa; na iwe kama mlivyosema. Yeyote atakayepatikana na kikombe hicho, atakuwa mtumwa wangu, lakini wengine wote hamtakuwa na lawama.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 44

Mtazamo Mwanzo 44:10 katika mazingira