26 tulimwambia, ‘Hatuwezi kwenda, isipokuwa tu kama ndugu yetu mdogo atakwenda pamoja nasi; kama hatakwenda pamoja nasi hatuwezi kupokelewa na yule mtu.’
Kusoma sura kamili Mwanzo 44
Mtazamo Mwanzo 44:26 katika mazingira