Mwanzo 44:8 BHN

8 Kumbuka, bwana, fedha tuliyokuta katika midomo ya magunia yetu tuliirudisha kutoka katika nchi ya Kanaani. Itawezekanaje tena tuibe fedha au dhahabu nyumbani mwa bwana wako?

Kusoma sura kamili Mwanzo 44

Mtazamo Mwanzo 44:8 katika mazingira