Mwanzo 45:12 BHN

12 Kisha Yosefu akasema, “Nyinyi wenyewe mmeona kwa macho yenu na hata ndugu yangu Benyamini ameona kwa macho yake kwamba ni mimi mwenyewe Yosefu ninayezungumza nanyi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:12 katika mazingira