Mwanzo 45:14 BHN

14 Kisha Yosefu akamkumbatia Benyamini, nduguye, akalia; Benyamini naye akalia, huku wamekumbatiana.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:14 katika mazingira