Mwanzo 45:18 BHN

18 wamlete hapa baba yao na jamaa zao wote. Mimi nitawapa sehemu nzuri kabisa ya nchi ya Misri, ambako wataweza kufurahia matunda yote ya nchi hii.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:18 katika mazingira