Mwanzo 45:21 BHN

21 Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:21 katika mazingira