Mwanzo 45:23 BHN

23 Tena alimpelekea baba yake zawadi hizi kwa ajili ya safari yake: Punda kumi waliobeba bidhaa bora za Misri, punda jike kumi waliobeba nafaka, mikate na vyakula vingine.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:23 katika mazingira