Mwanzo 45:26 BHN

26 Wakamwambia baba yao, “Yosefu yu hai! Yeye ndiye mtawala wa nchi yote ya Misri!” Hapo baba yao akapigwa na bumbuazi, kwani hakuweza kuyasadiki maneno yao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:26 katika mazingira