Mwanzo 45:5 BHN

5 Lakini sasa msifadhaike wala kujilaumu kwa kuniuza. Mungu ndiye aliyenileta huku niwatangulie, ili niyaokoe maisha ya watu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:5 katika mazingira