Mwanzo 45:9 BHN

9 Basi, fanyeni haraka, mwende kwa baba na kumwambia, ‘Yosefu, mwana wako, anasema: Mungu amenifanya kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri. Basi, usikawie kuja kwangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:9 katika mazingira