27 Huko nchini Misri Yosefu alikuwa amepata wana wawili. Kwa hiyo watu wote wa jamaa ya Yakobo walioingia Misri walikuwa sabini.
Kusoma sura kamili Mwanzo 46
Mtazamo Mwanzo 46:27 katika mazingira