Mwanzo 46:29 BHN

29 Yosefu akapanda gari lake la farasi, akaenda kumlaki Israeli, baba yake, huko Gosheni. Alipomfikia baba yake, alimkumbatia na kulia kwa kitambo kirefu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 46

Mtazamo Mwanzo 46:29 katika mazingira