Mwanzo 47:1 BHN

1 Basi, Yosefu akaenda kwa Farao, akamwambia, “Baba yangu na ndugu zangu pamoja na kondoo, ng'ombe na mali yao yote, wamefika kutoka nchi ya Kanaani. Sasa wako katika eneo la Gosheni.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:1 katika mazingira