Mwanzo 47:20 BHN

20 Hivyo Yosefu akainunua nchi yote ya Misri iwe mali ya Farao. Kila Mmisri alilazimika kuuza shamba lake, kwa jinsi njaa ilivyokuwa kali. Nchi yote ikawa mali ya Farao,

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:20 katika mazingira