Mwanzo 47:27 BHN

27 Basi, watu wa Israeli wakakaa katika eneo la Gosheni nchini Misri. Wakiwa huko, wakachuma mali nyingi, wakazaana na kuongezeka sana.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:27 katika mazingira