Mwanzo 47:29 BHN

29 Wakati wa kufa kwake ulipokaribia, Yakobo akamwita mwanawe Yosefu, akamwambia, “Sasa, kama kweli unanipenda, weka mkono wako mapajani mwangu, uniahidi kwamba utanitendea kwa heshima na haki. Usinizike huku Misri,

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:29 katika mazingira