Mwanzo 47:6 BHN

6 Nchi yote ya Misri iko chini yako; wape baba yako na ndugu zako sehemu bora ya nchi hii. Waache wakae katika eneo la Gosheni. Na iwapo unawafahamu watu stadi miongoni mwao, wateue wawe waangalizi wa mifugo yangu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:6 katika mazingira