Mwanzo 47:9 BHN

9 Yakobo akamjibu, “Umri niliojaliwa kama msafiri ni miaka 130. Miaka hiyo imekuwa michache na iliyojaa mateso, tena haijafikia idadi ya miaka waliyoishi wazee wangu kama wasafiri.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:9 katika mazingira