Mwanzo 48:1 BHN

1 Baada ya hayo, Yosefu alipewa habari kwamba baba yake ni mgonjwa. Hivyo, akawachukua wanawe wawili, Manase na Efraimu, akaenda nao kwa baba yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:1 katika mazingira