Mwanzo 48:7 BHN

7 Naamua hivyo kwa sababu ya mama yako, Raheli. Nilipokuwa narudi kutoka Padani yeye alifariki katika nchi ya Kanaani, tukiwa karibu kufika Efratha, akaniachia huzuni. Basi, nikamzika papo hapo, kando ya njia iendayo Efratha, yaani Bethlehemu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:7 katika mazingira