Mwanzo 49:15 BHN

15 “Aliona kuwa mahali pa kupumzikia ni pema,na kwamba nchi ni ya kupendeza,akauinamisha mgongo wake kubeba mzigo,akawa mtumwa kufanya kazi za shuruti.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:15 katika mazingira