Mwanzo 49:26 BHN

26 Baraka za baba yako zishinde baraka za milima ya milele,ziwe bora kuliko vilima vya kale.Baraka hizo na ziwe juu ya kichwa cha Yosefu,juu ya paji lake yeye aliyekuwa ametengwa na ndugu zake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:26 katika mazingira