Mwanzo 49:3 BHN

3 “Wewe Reubeni ni mzaliwa wangu wa kwanza,nguvu yangu na tunda la ujana wangu.Wewe wawapita ndugu zako kwa ukuu na nguvu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:3 katika mazingira