Mwanzo 49:31 BHN

31 Huko ndiko walikozikwa Abrahamu na mkewe Sara; huko ndiko walikozikwa Isaka na mkewe Rebeka; na huko ndiko nilikomzika Lea.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:31 katika mazingira