Mwanzo 49:33 BHN

33 Yakobo alipomaliza kuwausia wanawe, aliirudisha miguu yake kitandani, akatoa roho akajiunga na wazee wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:33 katika mazingira