Mwanzo 49:7 BHN

7 “Nalaani hasira yao maana ni kali mno,na ghadhabu yao isiyo na huruma.Nitawatawanya katika nchi ya Yakobo,nitawasambaza katika nchi ya Israeli.

Kusoma sura kamili Mwanzo 49

Mtazamo Mwanzo 49:7 katika mazingira