29 Alimwita mtoto huyo Noa, akisema, “Mtoto huyu ndiye atakayetufariji kutokana na kazi yetu ngumu tunayofanya kwa mikono yetu katika ardhi aliyoilaani Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 5
Mtazamo Mwanzo 5:29 katika mazingira