Mwanzo 50:14 BHN

14 Baada ya kumzika baba yake, Yosefu alirudi Misri pamoja na ndugu zake na watu wote waliokuwa wameandamana naye kwenda kumzika baba yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:14 katika mazingira