13 Mungu akamwambia Noa, “Nimeamua kuwaangamiza binadamu wote kwa sababu wameijaza dunia ukatili. Naam, nitawaangamiza kabisa pamoja na dunia!
Kusoma sura kamili Mwanzo 6
Mtazamo Mwanzo 6:13 katika mazingira