Mwanzo 6:4 BHN

4 Nyakati hizo na hata baadaye, kulikuwa na majitu duniani ambao walikuwa wazawa wa watoto wa kiume wa Mungu na wasichana wa watu. Hao ndio watu waliokuwa mashujaa na wenye sifa enzi hizo, nao waliitwa Wanefili.

Kusoma sura kamili Mwanzo 6

Mtazamo Mwanzo 6:4 katika mazingira