Mwanzo 6:7 BHN

7 hivyo akasema, “Nitamfuta kabisa duniani binadamu niliyemuumba; nitafutilia mbali pia wanyama wa porini, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Ninasikitika kwamba niliwaumba duniani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 6

Mtazamo Mwanzo 6:7 katika mazingira