Mwanzo 6:9 BHN

9 Ifuatayo ni habari juu ya Noa ambaye alikuwa ndiye mwadilifu pekee na ambaye hakuwa na lawama nyakati zake. Alikuwa mcha Mungu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 6

Mtazamo Mwanzo 6:9 katika mazingira